Viatu vilivyotenezwa nchini Kenya vimekumbana na upinzani mkubwa kutoka vinavyotenezwa nje ya nchi. Picha: Reuters Kenya imeazimia kupiga...
Read More
Home
Afrika
Showing posts with label Afrika. Show all posts
Showing posts with label Afrika. Show all posts
WAKIMBIZI 5 WAUAWA, WENGINE WAJERUHIWA NCHINI RWANDA
Kwa uchache wakimbizi watano wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa kwenye kambi moja nchini Rwanda baada ya maandamano ya kupinga hatu...
Read More
WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AJIUZULU
Waziri mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn, amesema kuwa amewasilisha barua yake ya kujiuzulu wadhifa wake wa Uwaziri Mkuu na ue...
Read More
MORGAN TSVANGIRAI AFARIKI DUNIA
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65 kutokana na saratani, maafisa wa c...
Read More
BURUNDI YAITUHUMU UN KUPIKA TAKWIMU ZA WAKIMBIZI
Warundi waliokimbia ghasia za baada ya uchaguzi wakiwa wamepumzika kandoni mwa Tanganyika huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya s...
Read More
KAGAME MWENYEKITI MPYA WA UMOJA WA AFRIKA
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika katika mkutano wa kilele cha umoja huo unaofanyika kati...
Read More
NAIBU BALOZI WA UGANDA ATIMULIWA MAREKANI KWA KUMPIGA MKE
Bwana Dickson Ogwang Naibu Balozi wa Uganda nchini Marekani ametimuliwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo kwa kudaiwa...
Read More
WANYARWANDA WANAPIGA KURA LEO
Raia wa Rwanda leo wanaelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais wa nchi hiyo. Watu wanaokadiriwa kuwa milioni 6.9 wan...
Read More
ASKARI 12 WA UGANDA WAUAWA NCHINI SOMALIA
Jeshi la Uganda limesema kuwa askari wake 12 waliuawa na wanamgambo wa al-Shabaab katika shambulizi ya kuvizia siku ya Jumapili kusini mw...
Read More
MUGABE: WANAOSUBIRI NIFE IMEKULA KWAO
Rais Robert Mugabe ahutubia wafuasi wa chama chake cha ZANU (PF) waliokusanyika mjini Chinhoyi, Zimbabwe, Julai 29, 2017. Rais wa ...
Read More
GHANA YATUMA SATELAITI YAKE YA KWANZA ANGANI
Ghana imetuma angani satelaiti yake ya kwanza tangu ilipojipatia uhuru. Satelaiti hiyo ya GhanaSat 1, ilitengenezwa na wanafunzi wa C...
Read More
SHAMBULIZI LA SINAI: ASKARI KADHAA WAUAWA
Mwanajeshi wa Misri Zaidi ya askari ishirini wa Misri wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi yaliyofanywa kwenye vizuizi viwili v...
Read More
KAGAME KUKAA MADARAKANI MPAKA MWAKA 2034
Rais Paul Kagame wa Rwanda Chama tawala nchini Rwanda kimempitisha Rais Paul Kagame kuwa mgombea wake katika uchaguzi uliopangwa ...
Read More
MLIPUKO WA BOMU WAUA KADHAA MJINI MOGADISHU
MOGADISHU, SOMALIA – Mlipuko mkubwa wa bomu lililotegwa kwenye gari na ambao ulilenga kituo cha ukaguzi jirani na Makao ya Rais kati...
Read More
GUTERRES AISIFU TANZANIA KWA USULUHISHI WA MGOGORO WA BURUNDI
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Augustine Mahiga...
Read More
HOTUBA YA JAMMEH AKITANGAZA KUACHIA MADARAKA
Aliyekuwa Rais wa Gambia, amewahutubia Wanagambia akieleza kwa nini ameamua kuachia madaraka na kuitakia nchi hiyo fanaka na baraka...
Read More
MAKAMU WA RAIS WA GAMBIA AJIUZULU
Makamu wa Rais wa Gambia Isatou Njie Saidy Makamu wa Rais wa Gambia amejiuzulu kufuatia kushitadi kwa mgogoro wa kisiasa katika t...
Read More
WABUNGE WA GAMBIA WAONGEZA MUDA WA JAMMEH KUBAKI MADARAKANI
Bunge la Gambia limepitisha azimio linalomruhusu Rais Yahya Jammeh kubaki madarakani kwa miezi mitatu zaidi, kuanzia leo, kwa mujibu...
Read More
ZUMA ATAKA WATU WASIITEMBELEE ISRAEL
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma JOHANNESBURG Rais Jacob Zuma amewataka raia wa Afrika Kusini kutoitembelea Israel isipokuwa ...
Read More
WAZIRI WA SERIKALI YA BURUNDI AUAWA
Emmanuel Niyonkuru, 54, waziri wa maji, mazingira na mipango, aliuawa usiku wa manane. Waziri wa mazingira nchini Burundi ameuaw...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)