Watu wanane wamejeruhiwa, mmoja vibaya sana kufuatia
mlipuko jijini Arusha. Polisi wamesema mlipuko huo ulitokea jana usiku katika
mgahawa mmoja. Afisa wa polisi katika eneo la tukio hakuweza kusema hasa chanzo
cha mlipuko huo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment