Serikali ya Tanzania yasema haina ushahidi wa kutosha
kuzitia hatiani shule za Feza zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa Uturuki
anayetuhumiwa kujihusisha na jaribio la kupindua Serikali ya Uturuki...
Serikali ya Uturuki inadai wamiliki wa shule hizo na
baadhi ya wafanyabiashara wanafadhili ugaidi kwa kushirikiana na Fethullah
Gulen anayeishi nchini Marekani ambaye ndio inadaiwa yuko nyuma ya jaribio la
Mapinduzi.
Serikali ya Uturuki yatakiwa kuwasilisha taarifa zenye
ushahidi wa kutosha juu ya hili.
Aidha, Ubalozi wa
Uturuki Tanzania umedai kuwa baadhi ya walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa
Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.
0 comments:
Post a Comment