
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametangaza
kuwa Umoja huo unazitambua ndoa za jinsi moja kwa wafanyakazi wake wote.
Awali Umoja huo ulikuwa ukizitambua ndoa hizo kwa wale
tu wanaotoka katika nchi ambazo zinaruhusu ushoga.
Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq amesema
kuwa sera hiyo imeanza kutekelezwa rasmi Juni 26 mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, ushoga umeruhusiwa katika
nchi 18 pamoja na baadhi ya majimbo ya Marekani na Mexico.
0 comments:
Post a Comment