MSAFARA WA KINANA WAPATA MISUKOSUKO BARABARA YA NAMANYERE -WAMPEMBE,NKASI,MKOANI RUKWA



Kinana akipita kando ya eneo korofi lililosababisha magari kukwama katika barabara hiyo, ambayo Kinana ameahidi ujnzi wake kuuhamishia Tanroads badala ya sasa kusimamiwa na Halmashauri ya Nkasi yenye uwezo mdogo wa kifedha za kujengea barabaa hiyo.


Gari la polisi likisukumwa eneo hilo korofi


Baadhi ya watu walio kwenye msafara wa Kinana wakiangalia magari yakipita kwenye eneo lenye utelezi baada ya kuamriwa kushuka ili magari yapite kirahisi katika eneo hilo.


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidiana na watu walio kwenye msafara wake kuweka mawe barabarani eneo ambalo magari ya msafara huo yalikwama katika Barabara ya Namanyere Wampembe, wilayani Nkasi, Mkoa wa Rukwa. Kinana alikuwa anakwenda katika Kata ya Wampembe Jimbo la Nkasi Kusini kufanya mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.



Kinana akisaidiana na watu walio kwenye msafara wake kuweka mawe barabarani eneo ambalo magari ya msafara huo yalikwama katika Barabara ya Namanyere Wampembe, wilayani Nkasi, Mkoa wa Rukwa.


 Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Wampembe


Share on Google Plus

About www.habarika24.blogspots.com

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment