Kichanga cha kike cha siku tano kimeopolewa katika shimo
la choo lenye urefu wa futi 36 na wasamalia wema katika mtaa wa Korongoni, kata
ya Holili, wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kikiwa hai ambapo kilipelekwa
katika hospitali ya Huruma iliyopo wilayani humo kwa uangalizi zaidi.
Aidha mwanamke aliyefanya unyama huo amekamatwa na
polisi kwa mahojiano zaidi.
0 comments:
Post a Comment