Utafiti uliofanywa na jopo la watafiti wa Ufaransa
katika kituo cha PYW umesisitiza kuwa Ufaransa ndio nchi pekee, kati ya nchi 40
zilizofanyiwa utafiti, inayokubali fikra ya usaliti wa ndoa na kuliona kuwa ni
sehemu ya starehe.
Asilimia 47 ya Wafaransa wanaona kuwa usaliti wa ndoa ni
jambo sahihi na haliwaumizi kichwa katika maisha yao.
Wakati huo huo, kwa upande wa nchi nyingine duniani, asilimia
78 ya watu walioulizwa wanaona kuwa usaliti wa ndoa ni utovu wa maadili na
kwamba ni jambo lisilokubalika kabisa.
0 comments:
Post a Comment