Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakifuatilia kwa umakini uwasilishwaji wa Kamati namba 1 pindi Mwenyekiti wa kamati namba1 Mh.Ummy Mwalimu alipokuwaakiw akiwasilisha mapendekezo ya Kamati yake jana asubuhi tarehe 11.04.2014.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakiwa wamesimama wakimuomba Mh. Makamu Mwenyenyekiti kumuamuru mwasilishaji wa Kamati namba 1 Mh. Ummy Mwalimu asome mapendekezo yaliyoandikwa katika vitabu jana asubuhi tarehe 11.04.2014.
0 comments:
Post a Comment