Kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mwenyeketi wa CUF
Profesa Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa chama hicho kwa kosa la
kuandamana bila kibali imefutwa hii leo katika Mahakama ya hakimu mkazi kisutu
jijini Dar es salaam.
Itakumbukwa kuwa kesi hii ilitakiwa kusomwa Januari 15.2016,
ikarudishwa nyuma na kusikilizwa leo asubuhi ambapo imefutwa rasmi.


0 comments:
Post a Comment