
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
Fax: 255-22-2113425
|
PRESIDENT’S OFFICE,
THE
STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTEUZI
WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA
KATIBA
UTANGULIZI
1. Uteuzi
wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba,
Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83). Sheria hii inaweka
mamlaka ya uteuzi, masharti, taratibu, vigezo na mambo mengine yote yanayopaswa
kuzingatiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba. Kwa mujibu wa Kifungu
cha 22 (2A) na (2B) vigezo hivi vinajumuisha umri, jinsia, uzoefu, sifa na
mahali anapotoka mjumbe husika.
2. Sheria
hii inatamka aina tatu za Wajumbe wa Bunge la Katiba kamaifuatavyo:-
(i) Wabunge
wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano;
(ii) Wajumbe
wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar; na
(iii) Wajumbe 201 kwa
mujibu wa Kifungu Na. 22(1c) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ambayo
inaonyesha makundi mbalimbali 10 yanayohusika.
3. Makundi
hayo ni kama ifuatavyo:-
(i) Taasisi
zisizokuwa za Kiserikali (20)
(ii) Taasisi
za Kidini (20)
(iii) Vyama
vyote vya Siasa vyenye Usajili wa Kudumu (42);
(iv) Taasisi
za Elimu (20);
(v) Watu
wenye Ulemavu (20);
(vi) Vyama
vya Wafanyakazi (19);
(vii) Vyama
vinavyowakilisha Wafugaji (10);
(viii) Vyama
vinavyowakilisha wavuvi (10);
(ix) Vyama
vya Wakulima (20); na
(x) Vikundi
vya Watu wenye Malengo yanayofanana (20).
4. Mchakato
wa uteuzi ulianza kwa kutoa Tangazo la Mwaliko katika Gazeti la Serikali, Tangazo
la Serikali Na 443 la tarehe 13 Desemba, 2013.
Tangazo hilo lilitolewa
kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza ili kuyaalika makundi yaliyotajwa kisheria
kuwasilisha mapendekezo ya majina kwa ajili ya uteuzi katika Bunge laMaalum la
Katiba. Aidha, Tangazo hilo la mwaliko lilitangazwa pia katika
magazeti mbalimbali yanayosomwa hapa nchini. Pamoja na mambo mengine Tangazo la
Mwaliko lilitamka ukomo wa muda wa Taasisi na Makundi kuwasilisha mapendekezo
ya majina ya wajumbe kuwa ni tarehe 02/01/2014.
5. Mapendekezo
hayo yalitakiwa kuwasilishwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa upande wa Tanzania Bara na kwa upande wa Zanzibar,
mapendekezo yalitakiwa kuwasilishwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar.
6. Kufuatia
mwaliko huo, taasisi 554 kutoka Tanzania Bara na 178kutoka Zanzibar ziliwasilisha
mapendekezo yao. Mapendekezo hayo yalijumuisha majina 2,762 kwa
upande wa Tanzania Bara na kwa upande wa Zanzibar mapendekezo hayo
yalihusisha watu 874. Hivyo basi, taasisi na makundi mbalimbali
yalipendekeza jumla ya majina 3,636. Lakini, na kinyume na Sheria,
watu 118walijipendekeza wenyewe na kufanya idadi ya majina
yaliyopendekezwa kuwa 3,754.
7. Mchanganuo
wa idadi ya watu walipendekezwa katika makundi mbalimbali ni kama ifuatavyo:
Na.
|
Kundi/Taasisi
|
Taasisi zilizoleta mapendekezo
|
Idadi ya Watu Waliopendekezwa
|
Idadi ya Wajumbe Wanaotakiwa
|
Idadi ya Walioteuliwa
|
|||
TanzaniaBara
|
Zanzibar
|
TanzaniaBara
|
Zanzibar
|
TanzaniaBara
|
Zanzibar
|
|||
1.
|
Taasisi zisizokuwa za Kiserikali
|
246
|
98
|
1,203
|
444
|
20
|
13
|
7
|
2.
|
Taasisi za Kidini
|
55
|
17
|
344
|
85
|
20
|
13
|
7
|
3.
|
Vyama vya Siasa vyenye Usajili wa Kudumu
|
21
|
14
|
129
|
69
|
42
|
28
|
14
|
4.
|
Taasisi za Elimu
|
9
|
9
|
84
|
46
|
20
|
13
|
7
|
5.
|
Makundi ya Walemavu
|
24
|
6
|
97
|
43
|
20
|
13
|
7
|
6.
|
Vyama vya Wafanyakazi
|
20
|
1
|
89
|
13
|
19
|
13
|
6
|
7.
|
Vyama Vinavyowakilisha Wafugaji
|
8
|
1
|
43
|
4
|
10
|
7
|
3
|
8.
|
Vyama vinavyowakilisha Wavuvi
|
7
|
3
|
45
|
12
|
10
|
7
|
3
|
9.
|
Vyama vya Wakulima
|
22
|
8
|
115
|
44
|
20
|
13
|
7
|
10.
|
Makundi yenye Malengo Yanayofanana
|
142
|
21
|
613
|
114
|
20
|
14
|
6
|
Mapendekezo Binafsi
|
-
|
-
|
118
|
-
|
||||
Jumla
|
672
|
178
|
2,880
|
874
|
201
|
134
|
67
|
|
Jumla Kuu
|
850
|
3,754
|
||||||
8. Sheria
ya Mabadiliko ya Katiba imeweka masharti ya kuzingatiwa katika uteuzi wa
wajumbe 201 wa Bunge la Maalum la Katiba. Masharti hayo ni
pamoja na wajumbe wasiopungua theluthi mojawanatakiwa kutoka Zanzibar na theluthi
mbili kutoka Tanzania Bara. Kwa sababu hiyo, katika
wajumbe 201, wajumbe 67 watatokaZanzibar na
wajumbe 134 watatoka Tanzania Bara. Aidha, mgawanyo wa wajumbe
wanawake na wanaume unatakiwa uwenusu kwa nusu. Pamoja na hayo, wajumbe
hao wawakilishe sura ya wananchi wa Tanzania kwa ufuasi wa vyama vya
siasa, dini, umri, na maeneo wanayotoka. Katika mazingira haya, zoezi la kupatawajumbe
201 halikuwa rahisi hata kidogo. Mwitikio wa makundi ulikuwa mkubwa sana ikilinganishwa
na nafasi zilizopo.
9. Kama nilivyoeleza
hapo awali, mapendekezo kutoka Tanzania Bara yalikuwa 2,880 wakati
nafasi za wajumbe ni 134. Kwa upande waZanzibar, majina
yaliyopendekezwa yalikuwa 874 ikilinganishwa na idadi ya
wajumbe 67 wanaotakiwa kuteuliwa. Kwa nyongeza ya maelezo
kuhusu uwingi wa mapendekezo, ni kwamba ukichukua taasisi zisizo za kiserikali
kwa upande wa Tanzania Bara walipendekezwa watu 1,203, wakati
nafasi zilizokuwa zinatakiwa kujazwa ni 13 tu. Kwa upande Zanzibar,
taasisi zisizokuwa za kiserikali zilikuwa zimependekeza majina 444 ikilinganishwa
na nafasi 7 tu zilizokuwa zinatakiwa kujazwa kutokana na
taasisi hizi.
WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
10. Rais wa Jamhuri
wa Muungano wa Tanzania wakishirikiana na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Zanzibar wamekamilisha uteuzi wa wajumbe 201.
Kabla ya kutaja orodha ya wajumbe walioteuliwa, napenda kufafanua mambo
yafuatayo:
(a) Uteuzi
umezingatia ushiriki wa watu wa rika zote, yaanivijana, watu
wazima na wazee. Kwa ajili hiyo, wajumbe vijana yaani
wenye umri wa kati miaka 22-35, ni wajumbe 35. Wajumbe
wenye umri wa kati, yaani miaka36-64, ni 145; na wajumbe
wazee, yaani wenye umri wa miaka 65 na kuendelea ni 21.
(b) Sheria
inataka kuwepo na uwiano sawa kwa ajumbe wanawake na wanaume. Jambo hili
limezingatiwa ipasavyo, na katika orodha hii wajumbe wanawake ni 100na
wanaume 101. Kwa vile, haiwezekani kuwa na nusu mtu, ndiyo maana
idadi ya wajumbe wanaume ni 101.
(c) Uwakilishi
wa vyama vya siasa ambao unahitaji kila chama chenye usajili wa kudumu kiwe na
wajumbe wawili umezingatiwa. Kwa kuwa kuna vyama vya siasa vyenye usajili wa
kudumu 21, jumla ya wajumbe 42 wamechaguliwa kwa maana ya kuwa wajumbe wawili wameteuliwa
kutoka katika kila chama.
Baada ya maelezo hayo ya utangulizi, ifuatayo ndiyo
orodha ya wajumbe 201 wa Bunge Maalum la Katiba waliobahatika
kuteuliwa:
TANZANIA BARA (13)
|
|
1. Magdalena
Rwebangira
|
2. Kingunge Ngombale Mwiru
|
3. Asha D. Mtwangi
|
4. Maria Sarungi Tsehai
|
5. Paul Kimiti
|
6. Valerie
N. Msoka
|
7. Fortunate Moses Kabeja
|
8. Sixtus
Raphael Mapunda
|
9. Elizabeth Maro
Minde
|
10. Happiness Samson Sengi
|
11. Evod Herman Mmanda
|
12. Godfrey Simbeye
|
13. Mary Paul Daffa
|
|
TANZANIA ZANZIBAR (7)
|
|
1. Idrissa Kitwana
Mustafa
|
2. Siti
Abbas Ali
|
3. Abdalla Abass Omar
|
4. Salama
Aboud Talib
|
5. Juma Bakari Alawi
|
6. Salma
Hamoud Said
|
7. Adila Hilali Vuai
|
|
TAASISI ZA KIDINI- (WAJUMBE 20)
|
|
TANZANIA BARA (13)
|
|
1. Tamrina Manzi
|
2. Olive
Damian Luwena
|
3. Shamim Khan
|
4. Mchg.
Ernest Kadiva
|
5. Sheikh Hamid Masoud Jongo
|
6. Askofu
Mkuu (Mstaafu) Donald Leo Mtetemela
|
7. Magdalena Songora
|
8. Hamisi
Ally Togwa
|
9. Askofu Amos J. Muhagachi
|
10. Easter Msambazi
|
11. Mussa
Yusuf Kundecha
|
12. Respa Adam Miguma
|
13. Prof.
Costa Ricky Mahalu
|
|
TANZANIA ZANZIBAR (7)
|
|
1. Sheikh Thabit Nouman
Jongo
|
2. Suzana Peter Kunambi
|
3. Sheikh Nassoro
Mohammed Ibrahimu
|
4. Fatma Mohammed Hassan
|
5. Louis Majaliwa
|
6. Yasmin Yusufali E. H
alloo
|
7. Thuwein Issa Thuwein
|
|
VYAMA VYOTE VYA SIASA
VYENYE USAJILI WA KUDUMU – (WAJUMBE 42)
|
|
TANZANIA BARA (28)
|
|
1. Hashim
Rungwe Spunda
|
2. Thomas
Magnus Mgoli
|
3. Rashid
Hashim Mtuta
|
4. Shamsa
Mwangunga
|
5. Yusuf
S. Manyanga
|
6. Christopher
Mtikila
|
7. Bertha
Ng’angompata
|
8. Suzan
Marwa
|
9. Dominick
Abraham Lyamchai
|
10. Mbwana Salum
Kibanda
|
11. Peter Kuga Mziray
|
12. Isaac Manjoba
Cheyo
|
13. Dr. Emmanuel John Makaidi
|
14. Prof. Ibrahim
Haruna Lipumba
|
15. Modesta Kizito Ponera
|
16. Prof. Abdallah
Safari
|
17. Salumu Seleman Ally
|
18. James Kabalo
Mapalala
|
19. Mary Oswald Mpangala
|
20. Mwaka Lameck
Mgimwa
|
21. Nancy S. Mrikaria
|
22. Nakazael Lukio
Tenga
|
23. Fahmi Nasoro Dovutwa
|
24. Costantine
Benjamini Akitanda
|
25. Mary Moses Daudi
|
26. Magdalena Likwina
|
27. John Dustan Lifa Chipaka
|
28. Rashid Mohamed
Ligania Rai
|
TANZANIA ZANZIBAR (14)
|
|
1. Ally Omar Juma
|
2. Vuai Ali Vuai
|
3. Mwanaidi Othman Twahir
|
4. Jamila Abeid Saleh
|
5. Mwanamrisho Juma Ahmed
|
6. Juma Hamis Faki
|
7. Tatu Mabrouk Haji
|
8. Fat –Hiya Zahran Salum
|
9. Hussein Juma
|
10. Zeudi Mvano Abdullahi
|
11. Juma Ally Khatibu
|
12. Haji Ambar Khamis
|
13. Khadija Abdallah
Ahmed
|
14. Rashid Yussuf Mchenga
|
TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20)
|
|
TANZANIA BARA
|
|
1. Dr. Suzan Kolimba
|
2. Prof. Esther Daniel
Mwaikambo
|
3. Dr. Natujwa
Mvungi
|
4. Prof. Romuald Haule
|
5. Dr. Domitila A.R.
Bashemera
|
6. Dr. Jasmine
Bendantunguka Tiisekwa
|
7. Prof. Bernadeta Kilian
|
8. Teddy Ladislaus
Patrick
|
9. Dr. Francis Michael
|
10. Prof. Remmy J. Assey
|
11. Dr.
Tulia Ackson
|
12. Dr.
Ave Maria Emilius Semakafu
|
13. Hamza
Mustafa Njozi
|
|
TANZANIA ZANZIBAR (7)
|
|
1. Makame Omar Makame
|
2. Fatma Hamid Saleh
|
3. Dr. Aley Soud Nassor
|
4. Layla Ali Salum
|
5. Dkt. Mwinyi Talib Haji
|
6. Zeyana Mohamed Haji
|
7. Ali Ahmed Uki
|
|
WATU WENYE ULEMAVU-(WAJUMBE 20)
|
|
TANZANIA BARA (13)
|
|
1. Zuhura
Musa Lusonge
|
2. Frederick Msigala
|
3. Amon
Anastaz Mpanju
|
4. Bure Zahran
|
5. Edith
Aron Dosha
|
6. Vincent Venance Mzena
|
7. Shida
Salum Mohamed
|
8. Dr. Henry Mwizengwa
Nyamubi.
|
9. Elias
Msiba Masamaki
|
10. Faustina
Jonathan Urassa
|
11. Doroth Stephano Malelela
|
12. John
Josephat Ndumbaro
|
13. Ernest Njama Kimaya
|
|
TANZANIA ZANZIBAR (7)
|
|
1. Haidar Hashim
Madeweyya
|
2. Alli Omar Makame
|
3. Adil Mohammed Ali
|
4. Mwandawa Khamis
Mohammed
|
5. Salim Abdalla Salim
|
6. Salma Haji Saadat
|
7. Mwantatu Mbarak Khamis
|
|
VYAMA VYA WAFANYAKAZI-(WAJUMBE 19)
|
|
TANZANIA BARA (13)
|
|
1. Honorata Chitanda
|
2. Dr. Angelika Semike
|
3. Ezekiah Tom Oluoch
|
4. Adelgunda Michael
Mgaya
|
5. Dotto M. Biteko
|
6. Mary Gaspar Makondo
|
7. Halfani Shabani Muhogo
|
8. Yusufu Omari Singo
|
9. Joyce Mwasha
|
10. Amina
Mweta
|
11. Mbaraka
Hussein Igangula
|
12. Aina
Shadrack Massawe
|
13. Lucas
Charles Malunde
|
|
TANZANIA ZANZIBAR (6)
|
|
1. Khamis Mwinyi Mohamed
|
2. Jina Hassan Silima
|
3. Makame Launi Makame
|
4. Asmahany Juma Ali
|
5. Mwatoum Khamis Othman
|
6. Rihi Haji Ali
|
VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAFUGAJI-(WAJUMBE
10)
|
|
TANZANIA BARA (7)
|
|
1. William Tate Olenasha
|
2. Makeresia Pawa
|
3. Mabagda Gesura
Mwataghu
|
4. Doreen Maro
|
5. Magret Nyaga
|
6. Hamis Mnondwa
|
7. Ester Milimba Juma
|
|
TANZANIA ZANZIBAR (3)
|
|
1. Said Abdalla Bakari
|
2. Mashavu Yahya
|
3. Zubeir Sufiani Mkanga
|
|
VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAVUVI –(WAJUMBE 10)
|
|
TANZANIA BARA (7)
|
|
1. Hawa A. Mchafu
|
2. Rebecca Masato
|
3. Thomas Juma Minyaro
|
4. Timtoza Bagambise
|
5. Tedy Malulu
|
6. Rebecca Bugingo
|
7. Omary S. Husseni
|
|
TANZANIA ZANZIBAR (3)
|
|
1. Waziri Rajab
|
2. Issa Ameir Suleiman
|
3. Mohamed Abdallah Ahmed
|
|
VYAMA VYAWAKULIMA-(WAJUMBE 20)
|
|
TANZANIA BARA (13)
|
|
1. Agatha Harun
Senyagwa
|
2. Veronica Sophu
|
3. Shaban Suleman Muyombo
|
4. Catherine Gabriel
Sisuti
|
5. Hamisi Hassani Dambaya
|
6. Suzy Samson Laizer
|
7. Dr. Maselle Zingura
Maziku
|
8. Abdallah Mashausi
|
9. Hadijah Milawo Kondo
|
10. Rehema
Madusa
|
11. Reuben
R. Matango
|
12. Happy
Suma
|
13. Zainab
Bakari Dihenga
|
|
TANZANIA ZANZIBAR (7)
|
|
1. Saleh Moh’d Saleh
|
2. Biubwa Yahya Othman
|
3. Khamis Mohammed Salum
|
4. Khadija Nassor Abdi
|
5. Fatma Haji Khamis
|
6. Asha Makungu Othman
|
7. Asya Filfil Thani
|
|
WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (WAJUMBE
20)
|
|
TANZANIA BARA (14)
|
|
1. Dr.
Christina Mnzava
|
2. Paulo Christian
Makonda
|
3. Jesca
Msambatavangu
|
4. Julius Mtatiro
|
5. Katherin
Saruni
|
6. Abdallah Majura
Bulembo
|
7. Hemedi
Abdallah Panzi
|
8. Dr. Zainab Amir Gama
|
9. Hassan
Mohamed Wakasuvi
|
10. Paulynus
Raymond Mtendah
|
11. Almasi Athuman Maige
|
12. Pamela
Simon Massay
|
13. Kajubi Diocres Mukajangwa
|
14. Kadari
Singo
|
TANZANIA ZANZIBAR (6)
|
|
1. Yussuf Omar Chunda
|
2. Fatma Mussa Juma
|
3. Prof. Abdul Sheriff
|
4. Amina Abdulkadir Ali
|
5. Shaka Hamdu Shaka
|
6. Rehema Said Shamte
|
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
7 Februari, 2014
0 comments:
Post a Comment