AJALI MBAYA YA LORI LA MAFUTA

Wananchi wakiangalia Lori baada ya kuungua


Mabaki ya Lori hilo baada ya kuteketea kabisa kwa moto jioni hii.

Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii.


Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeungua.

Hii ni njia ya mlima sekenke.

Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hilo.

Moto ukimalizikia kwa mbaliii kama inavyoonekana.
KWA HISANI YA JAMII FORUMS


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment