MTIKILA: KUNA CHADEMA MBILI - 'CHADEMA CHUMBANI' NA
'CHADEMA SEBULENI'
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa
MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI
"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza
wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA
katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA
wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"
Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni
matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu
mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"
WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na
VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya
kuwakomboa watanzania
KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!
Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT
" ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI
akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,
Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao
ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya
CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"
CHANZO: Jamii Forums/ gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013

0 comments:
Post a Comment