Kitakachotokea: Zitto Kabwe na wenzake watavuliwa
uanachama na CDM. Zitto atafanikiwa kuweka court injunction, atamaliza kipindi
chake cha Ubunge salama. Ataungana na wahanga wenzake wa mafukuzo, akina David
Kafulila, Hamad Rashid Mohamed, watajiunga na chama kimoja cha upinzani na
kitakuwa na nguvu sana! CCM itashinda kwa nguvu baada ya wapinzani wengi kuhama
CDM, CUF, NCCR na kuhamia hicho chama kipya!
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment