Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili ulioanzia tarehe 08 hadi 09 Julai , 2013 kuwa walioorodheshwa katika tangazo lililopo katika Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyooneshwa katika tangazo hilo, kwa maelezo zaidi tembeleawww.ajira.go.tz
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini 29 Agosti, 2013

0 comments:
Post a Comment