![]() |
| Grey College ya Afrika Kusini |
Kumekuwepo na ongezeko la kuibuka kwa shule nzuri sana za sekondari katika bara zima la Afrika. Baada tu ya uhuru, shule za serikali zilianza vizuri sana, lakini nyingi zimebadilika. Kwa sehemu kubwa, shule binafsi, zinafanya vizuri zaidi kuliko shule za serikali. Aidha, shule za kimataifa zimechukua nafsi kubwa katika bara la Afrika. Ifuatayo ni orodha ya shule bora 100 za sekondari:
1. Grey College ya Afrika Kusini
2. Rift Valley Academy ya Kenya
3. King Edward VII School ya Afrika Kusini
4. Hilton College ya Afrika Kusini
5. St. George’s College ya Zimbabwe
6. Prince Edward School ya Zimbabwe
7. International School of Kenya ya Kenya
8. Accra Academy ya Ghana
9. Lycée Lamine Guèye ya Senegal
10. Adisadel College ya Ghana
11. St John’s College Houghton ya Afrika Kusini
12. Maritzburg College Afrika Kusini
13. Lycée Guebre Mariam ya Ethiopia
14. Selborne College ya Afrika Kusini
15. St Alban’s College ya Afrika Kusini
16. Lycée Lyautey ya Morocco
17. Durban High School ya Afrika Kusini
18. Grey High School ya Afrika Kusini
19. St Andrew`s College ya Afrika Kusini
20. Gateway High School ya Zimbabwe
21. Glenwood High School ya Afrika Kusini
22. Rainbow International School ya Uganda
23. Lycée Moulay Youssef ya Morocco
24. Kearsney College Afrika Kusini
25. St. James High School ya Zimbabwe
26. Wynberg Boys High School ya Afrika Kusini
27. Pretoria Boys High School ya Afrika Kusini
28. Lycée Français de Tananarive ya Madagascar
29. Mauritius College of the Air ya Mauritius
30. Moshi International School ya Tanzania
31. Le Collège Mermoz ya Ivory Coast
32. Strathmore School ya Kenya
33. Parktown Boys’ High School ya Afrika Kusini
34. International School of Tanganyika ya Tanzania
35. Holy Child School ya Ghana
36. Christ The King College Onitsha ya Nigeria
37. Graeme College Afrika Kusini
38. Jeppe High School for Boys ya Afrika Kusini
39. Alliance High School ya Kenya
40. Hillcrest School Jos ya Nigeria
41. Kingswood College Afrika Kusini
42. Hamilton High School ya Zimbabwe
43. Lincoln International School ya Uganda
44. Lycée Victor Hugo ya Morocco
45. Alexandra High School ya Afrika Kusini
46. École Normale Supérieure ya Guinea
47. Ghana International School ya Ghana
48. Arundel School ya Zimbabwe
49. Rondebosch Boys’ High School ya Afrika Kusini
50. Starehe Boys’ Centre ya Kenya
51. American International School of Johannesburg ya Afrika Kusini
52. Victoria Park High School ya Afrika Kusini
53. Methodist Boys High School ya Sierra Leone
54. Harare International School ya Zimbabwe
55. Methodist Girls High School ya Sierra Leone
56. Lenana School ya Kenya
57. St. Andrew’s High School ya Malawi
58. Benoni High School ya Afrika Kusini
59. Waddilove High School ya Zimbabwe
60. Roedean School ya Afrika Kusini
61. Wykeham Collegiate Independent School for Girls ya Afrika Kusini
62. Lycee Francais du Caire ya Misri
63. Christian Brothers’ College Bulawayo ya Zimbabwe
64. Kamuzu Academy ya Malawi
65. Mount Pleasant High School ya Zimbabwe
66. Mfantsipim School ya Ghana
67. Chisipite Senior School ya Zimbabwe
68. Gayaza High School ya Uganda
69. Kutama College ya Zimbabwe
70. Wheelus High School ya Libya
71. Michaelhouse School ya Afrika Kusini
72. Westville Boys’ High School ya Afrika Kusini
73. Namilyango College ya Uganda
74. Government College Umuahia ya Nigeria
75. Muir College ya Afrika Kusini
76. Wesley Girls High School ya Ghana
77. Alexander Sinton High School ya Afrika Kusini
78. Lycée Faidherbe ya Senegal
79. Royal College Port Louis ya Mauritius
80. Lycée La Fontaine ya Niger
81. Lycée Lyautey de Casablanca ya Morocco
82. Settlers High School ya Afrika Kusini
83. Nyeri High School ya Kenya
84. Pinetown Boys’ High School ya Afrika Kusini
85. Kings’ College Lagos ya Nigeria
86. Lycée Français Liberté ya Mali
87. Paarl Boys’ High School ya Afrika Kusini
88. St. Paul’s College ya Namibia
89. Tafari Makonnen School ya Ethiopia
90. Wynberg Girls’ High School ya Afrika Kusini
91. Bingham Academy ya Ethiopia
92. Port Shepstone High School ya Afrika Kusini
93. Clapham High School ya Afrika Kusini
94. Hillcrest Secondary School ya Kenya
95. South African College School ya Afrika Kusini
96. Lycée Blaise Diagne ya Senegal
97. St Mary’s Diocesan School for Girls ya Afrika Kusini
98. Townsend High School ya Zimbabwe
99. St.Gregory’s College ya Nigeria
100. St. Patrick School ya Zimbabwe
Nyingi eya shule hizi ni kongwe, na zina historia ndefu. Shule hizi zina utendaji thabiti katika kuchukua hatua pale zinapofanya vizuri au zinapofanya vibaya na kurudi kwenye kilele. Aidha, shule kubwa kama vile the African Leadership Academy zimeendelea kuonesha ubora wake kwa miaka mingi. Hata hivyo, hatujui kama zitaendelea kubaki kwenye kiwango chake cha sasa.
Wakati tukifurahia kuingia kwa sekta binafsi katika elimu, kuna swali muhimu tunalopaswa kujiuliza: “Utendaje mzuri wa shule binafsi unatokana na utendaji mbaya wa shule za umma?” Hili ni swali muhimu kwa sababu watu wengi hawana uwezo wa kulipia gharama kubwa za ada zinazotozwa katika shule binafsi ili kupata elimu nzuri.
Tujitathmini
CHANZO: The African Economist

0 comments:
Post a Comment