
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.2 elimepiga karibu na mji wa Tokyo, na kuyatikisa majengo katika mji huo. Hakuna hatari ya tsunami iliyoripotiwa.
"Tetemeko lilitokea saa 10:23 kwa majira ya hapa," ilisema taarifa ya idara ya hali ya hewa ya Japan. "Kiini chake kilikuwa katika mkoa wa kaskazini wa Tochigi. Kina chake kilikuwa takriban kilometa 10 na ukubwa wake unakadiriwa kuwa 6.2".
Dakika chache baadaye lilitokea tetemeko jingine lenye ukubwa wa 4.7. Gazeti la kila siku la Yomiuri limeripoti.
TUTAENDELEA KUFUATILIA HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment