WANAKIJIJI WAUA WEZI 100 WA MIFUGO NCHINI MADAGASCAR

 

Kwa uchache  watu 100 wamepoteza maisha yao katika machafuko yaliyozuka kufuatia wizi wa mifugo nchini Madagascar, wanasema maafisa.
“Vikosi vya Usalama vimepelekwa ili kukabiliana na uwezekano wa kutokea kwa ulipizaji wa kisasi  (shambulio) unaoweza kufanywa na wezi mifugo,” Luteni Kanali Tahina Rakotomalala alisema leo Jumatatu.
Mapema siku ya Jumapili, mamlaka zilisema kwamba watu tisa, ikiwa ni pamoja na maafisa wa usalama wawili, polisi  mmoja na wezi sita waliuawa kutokana na machafuko katika mkoa wa kusini wa Ihaborano ndani ya kisiwa hicho.
MAM / AZ
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment