TAARIFA MPYA KUHUSU TETEMEKO LA ARDHI KATIKA ENEO LA PACIFIC

 

* ONYO LA TSUNAMI LAONDOLEWA KWA JAPAN NA TAIWAN
SHIRIKA la Marekani la Utafiti wa Kijiolojia imeelezea kuwa ukubwa wa tetemeko la ardhi huko Ufilipino ni 7.6 kutoka 7.6 na ya onyo la awali juu ya tsunami liliokuwa limetolewa kwa Japan na Taiwan, sasa limeondolewa.
Tetemeko hilo kubwa limetokea katika kina cha kilometa 33 (maili 20) kwenye majira ya saa 2: 47 Jioni kwa majira ya eneo hilo (12: 47 GMT) kilomita 139 mashariki mwa mji wa Sulangan.
Hata hivyo onyo la tsunami litaendelea kwa nchi za Ufilipino, Indonesia na Belau.
Kituo cha Pacific cha Onyo la Tsunami kimetoa onyo jipya, ambalo limeyaweka maeneo kadhaa ya Pacific kwenye uangalizi maalumu wa tsunami kufuatia tetemeko hilo.
MRS/SS
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment