Kwa uchache askari saba wa jeshi la Uturuki wameuawa na wengine 56 kujeruhiwa katika shambulizi lilifanywa na kikundi cha PKK nchini Uturuki.
Shambulizi hilo limekuja baada ya wanachama 28 wa kikundi hicho kuuawa katika mapambano na jeshi la Uturuki katika mkoa wa kusini mashariki wa Hakkari kwa zaidi ya siku nne zilizopita.
Kundi la PKK limekuwa likipigania kuwa na jimbo la Kikurdi lenye mamlaka kamili ndani ya Uturuki tangu miaka ya 1980. Mgogoro huo umewaacha makumi kwa maelfu kupoteza maisha.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment