“Mh.Nape Moses Nnauye sio jambazi, ni mtanzania, ni
mbunge, mjumbe wa NEC wa CCM, hana record ya uhalifu. Kitendo cha mtu kumtolea
Bastola, Sio cha kiasikari, sio cha kitanzania na sio cha ki Mungu, kama mtu
ameweza kutoa Bastola mbele ya Kamera nawaza mbali ingekuwa kwenye uchochoro
angefanya nini.
Nahusika na Usalama wa Raia wote wa Tanzania,
nimemwelekeza IGP atumie picha kumsaka mtu yule aliyeinua kufanya kitu cha
kihalifu kwa kofia ya uaskari. Na kama ni Askari basi sheria zinazoongoza
taasisi husika zichukue mkondo wake.”
CHANZO: Ukurasa wake wa Facebook
0 comments:
Post a Comment