Mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua isiyokuwa ya
kawaida yamewaua watu 8 katika viunga vya mji wa Sanaa na maeneo mengine
kadhaa ya Yemen.
Mafuriko hayo yamesababisha uharibifu mkubwa, kusomba
magari na mazao na kuharibu barabara.
![]() |
Mwanamke akikusanya vitu vyake kutoka kwenye nyumba
iliyokumbwa na mafuriko kwenye viunga vya mji wa Sanaa nchini Yemen.
|
![]() |
Watoto wakiwa wamepakiwa kwenye gari katika mtaa uliojaa
maji mjini Sanaa, nchini Yemen.
|
![]() |
Wananchi wakikusanya mali zao kutoka kwenye nyumba
iliyokumbwa na mafuriko kwenye viunga vya mji mkuu wa Yemen, Sanaa.
|
![]() |
Mvua kubwa yaukumba mji wa Sanaa na maeneo mengi ya
Yemen huku hali ya hewa ikiwa ya mashaka.
|
![]() |
Muonekano wa barabara iliyokumbwa na mafuriko mjini
Sanaa, Yemen.
|
![]() |
Gari na pikipiki zikipita katika barabara iliyokumbwa na
mafuriko katika mji wa Sanaa nchini Yemen.
|
![]() |
Pikipiki katika mitaa yenye mafuriko mjini Sanaa.
|
![]() |
| Hali halisi ya mafuriko katika viunga vya mji wa Sanaa. |
![]() |
| Wanafamilia wakiwa wamekaa nje ya nyumba iliyoathiriwa na mafuriko mjini Sanaa, Yemen. |









0 comments:
Post a Comment