Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano ya ndani ya
Vyama vya Siasa kufuatia matukio ya kihalifu katika maeneo mbalimbali nchini.
"Mikutano ya ndani inatumika kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi na
kupambana na Askari kuanzia leo Jeshi la Polisi linapiga marufuku mikutano ya
ndani pia". Alisema CP Nsato Marijan.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment