WANANCHI WAJIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTALI LA WAPIGA KURA.

 Wananchi wajitokeza kujiandikisha katika Daftari la wapiga kura Kutoka kushoto ni Mzee Thomas Fulla akijiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo  cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo, Kulia aliyekaa ni  Mwandikishaji msaidizi,Hawa Bushiri na Mwongozaji wa kutumia mashine za (BVR), Biometric Vote Registration Salimu Said.
 Mzee Thomas Fulla akijiandaa kupiga picha kwaajili ya kupata kitambulisho cha kumwezesha kupiga kura mwaka 2015,wakati wa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo  cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo.
Wananchi wakiwa katika  foleni ya kujiandikisha mara baada ya kupata namba ambazo zitamwezesha kufikia kujiandikisha kwa wanao andikisha leo katika,ikiwa kila kituo inaakiwa kuandikisha watu 100 na mpaka kuikia saa tano namba 1hadi 100 zilikuwa ayai mikononi mwa watu waliojitokeza  kujiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo  cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. 
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment