Chopa iliyokuwa ikitumiwa na Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassary ikiwa juu ya mti mara baada ya kupiga mweleka jioni ya leo katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment