Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa White House, Mjini Dodoma leo Julai 10, 2015, wakati akitoa taarifa juu ya kuchelewa kwa vikao vya CCM ambavyo vilikuwa vianze Julai 8. Nape amesema kuwa vikao hivyo vitakuwa vikianzia saa 4 asubuhi hii, ambapo tano bora na tatu bora ya Wagombea itafahamika leo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment