![]() |
| Meli ya walinzi wa Pwani ya Ufilipino |
Abiria wasiopungua 36 wamepoteza maisha yao na wengine
wapatao 20 hawajulikani walipo baada ya boti waliyopanda kupinduka nchini
Ufilipino.
Kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya nchi hiyo, boti
hiyo ilikuwa na abiria 173 na ilikuwa ikitoka katika mji wa Ormoc kwenda katika
kisiwa cha Camotes.
Taarifa zinasema kuwa zaidi ya abiria 110 wameokolewa.

0 comments:
Post a Comment