Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana ameifungia timu yake ya taifa ya Ureno magoli matatu ‘hat-trick’ katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Armenia kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Ulaya (Euro 2016).
Ronaldo alifunga magoli yake dakika ya 29, 55, 58, wakati magoli ya Armenia yalifungwa na Marcos Pizzelli 14 na Hrayr Mkoyan 71.
Ureno ikiongoza kundi lake la I katika harakati za kuwania kufuzu kucheza fainali za Maifa ya Ulaya (Euro 2016)
Matokeo mengine ya mechi zilizopigwa jana;
Ireland 1-1 Scotland
Poland 4-0 Georgia
Gibraltar 0-7 Germany
Finland 0-1 Hungary
Faroe Islands 2-1 Greece
N. Ireland 0-0 Romania
Armenia 2-3 Portugal
Denmark 2-0 Serbia
0 comments:
Post a Comment