![]() |
Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu kuzima
moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya kuhifadhia vitu
mbalimbali, zikiwemo nguo, baada ya kuzuka kwa moto katika jengo hilo. Chanzo
cha moto huo bado kujulikana na hakuna
mtu aliyeripotiwa kudhurika. Mkuu wa Chuo hicho Kamishna Msaidizi wa Polisi
Matanga Mbushi ameahidi kutoa taarifa kamili baadaye.
|


![]() |
| Askari wanafunzi wakipambana na moto kwa kila jinsi. |
.jpg)

0 comments:
Post a Comment