![]() |
| Pandu Amir Kificho |
Mheshimiwa Pandu Amir Kificho ameshinda nafasi ya
Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19%
ya kura 558 zilizopigwa na kuwaacha kwa mbali Costa Mahalu na Magdalena
Rwebangira ambao wamepata kura 84 kila mmoja ambazo ni sawa na 14.79%
Kura saba ziliharibika.
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba utafanyika
siku ya Ijumaa.

0 comments:
Post a Comment