Baraza la Mitihani la Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha nne. Bonyeza kiunganishi kifuatacho kuona matokeo yote:
Matokeo ya kidato cha NNE na QT yameshatoka.Kupata matokeo ingia kwenye tovuti ya Baraza: http://www.necta.go.tz/index.php na fungua sehemu ilioandikwa MATOKEO YA CSEE 2013 & MATOKEO YA QT 2013

0 comments:
Post a Comment