Kocha mwenye maneno mengi, Jose Morinho anaonekana kama mtu anayewahurumia Manchester United kwa hali waliyonayo katika msimamo wa Ligi Kuu nchi Uingereza. Hata hivyo, baadhi ya mashabiki wa United wanaona kama Morinho anawadhihaki kwa kile kinachoendelea. Haya ndiyo aliyoyasema:
"Ninawasikitikia sana, sikuwahi kufurahia kumuona
mtu akiwa na matatizo kama waliyonayo sasa lakini United ni United na David (Moyes)
ana uzoefu wa kutosha kukabiliana na hali ilivyo na watakuwa na mustakbali
mzuri sana.”

0 comments:
Post a Comment