Nimejiuliza maswali ambayo watanzania wanapaswa
kuyatafakari.
1. ZITTO
ALIVITAKA VYAMA VYA SIASA KUKAGULIWA KWA MJIBU WA SHERIA YA NCHI WALA SIO
SHERIA YA ZITTO. CHADEMA WAKAMVUA UONGOZI KWA KIGEZO KUWA HAKUWATONYA KUWA
KAMATI YAKE ITAFANYA HIVYO ILI WAWEKE MAMBO SAWA. HIVI CHADEMA WANGEKUWA NA
SERIKALI WANGEMFANYA NINI MDHIBITI NA MKAGUZI WA MAHESABU YA SERIKALI CAG MARA
BAADA YA KUIKAGUA SERIKALI? KAMA MTU ALISHAURI TU CAG AKAGUE WALA SIO YEYE
AMEKAGUA WAMEMVUA UONGOZI? WANGEMNYONGA MPAKA KUFA KWA KUKAGUA MAHESABU YA
SERIKALI.
2. KAMA
WATU WANAOTAFUTA UENYEKITI TU NDANI YA CHAMA TENA KWA KURA ANAITWA MHAINI,
WAKAWAVUA UONGOZI. JE CHADEMA WANGEKUWA NA SERIKALI HALAFU CHAMA KINGINE
KIKATAKA KUWAONDOA MADARAKANI WANGEWAITA NANI? WANGEWAFANYEJE? WANGEWANYONGA
MPAKA KUFA. THESE ARE TYPICAL DICTATORS. WALISEMA NCHI HSITATAWALIKA NAONA SASA
CHAMA NDICHO HAKITAWALIKI. DEMOKRASIA JINA TU

0 comments:
Post a Comment