Huu ndio msimaamo wangu hatucheki na WATU wanaosaliti
chama, hapa nilipo Nina kesi sita ,nimepigwa mabomu, na WATU wangu walikatwa
mapanga kwa ajili ya chama,Leo eti mnanitishia kuwa navunja heshima kwa kukemea
usaliti, waulize hao wanaotaka uongozi juu ya Hilo? Ni hivi asiyetaka kuwa
rafiki hapa fb poa tu, na anayetaka kunidharau kwa hili niko tayari. Msimaamo
wangu ndio huu , kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye
chama..period!!nasubiri mnitukane..siwezi kaa kimya kusema ukweli eti kisa
utanidharau au utakejeli au utanitukana ,that will not change me.
CHANZO: Ukurasa wake wa facebook

0 comments:
Post a Comment