Serikali imebadilisha viwango vya ufaulu wa elimu ya
kidato cha nne na sita ambapo daraja la sifuri sasa limefutwa na imeongeza
daraja la tano kiwango cha alama ya F ambayo sasa itakuwa alama kati ya 0 hadi
20. Hayo yamesemwa na katibu mkuu wa wizara ya elimu na mafuinzo ya ufundi
Profesa Sifuni Mchome wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu
mabadililo hayo.
A: 75-100
B+: 60-74
B: 50-59
C: 40-49
D: 30-39
E: 20-29
F: 0-19
CHANZO: Wizara ya Elimu
0 comments:
Post a Comment