Taarifa zilizopatikana leo zinasema kuwa Mkuu wa Kituo
cha Polisi Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Inspekta Nsekelo amejeruhiwa vibaya
kwa kupigwa risasi na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wakifanya mazoezi
ya kijeshi katika vijiji vya Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano
baina ya kikundi hicho na polisi.
Chanzo: East Africa Radio

0 comments:
Post a Comment