Kundi la AL-SHABAAB la nchini Somalia limedai kuhusika
na shambulio baya lililotokea leo mjini Nairobi kwenye maduka ya Westgate.
Shambulizi hilo limewaua watu wapatao 30.
Shambulio kama hilo lilitokea katika Soko la Bakara mjini Mogadishu leo saa 5 asubuhi, muda ule ule wa tukio la Nairobi.
Shambulio kama hilo lilitokea katika Soko la Bakara mjini Mogadishu leo saa 5 asubuhi, muda ule ule wa tukio la Nairobi.

0 comments:
Post a Comment