
Inaelezwa kuwa Arsenal wanafuatilia kwa karibu maendeleo ya mchezaji mmoja kwenye Klabu ya Ligi Kuu ya Urusi ya Anzhi Makhachkala. Inaelezwa kuwa lengo ni kupunguza gharama za kusajili wachezaji wapya. Inaelezwa kuwa Wenger ana matumaini ya kupata saini ya mchezaji wa Kimataifa wa Cameroon, Samuel Eto'o. Hayo ni kwa mujibu wa gazeti la El Confidencial la nchini Hispania.
0 comments:
Post a Comment