Kituo cha Kimataifa cha Istanbul Youth Centre kinatangaza watu wenye sifa kujaza nafasi zifuatazo:
1. Mwalimu wa kiume wa Lugha ya Kiingereza.
SIFA: Awe na digrii na kuendelea katika fani husika.
MUDA WA KAZI: Siku 3 kwa wiki.
MALIPO: Tsh 300,000 (laki tatu) kwa mwezi
ENEO LA KAZI: Mbezi Beach Makonde, Dar es Salaam.
2. Mwalimu wa kike wa somo la Kompyuta.
SIFA: Awe na digrii na kuendelea katika fani husika.
MUDA WA KAZI: Siku 3 kwa wiki.
MALIPO: Tsh 300,000 (laki tatu) kwa mwezi.
ENEO LA KAZI: Mbezi Beach Makonde, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi, piga:
0712 183 047
0712 566 595
0 comments:
Post a Comment