Dunia itakuwa imeshuhudia maajabu na matukio mengi, lakini habari hii itakustaajabisha kweli kweli. Mtu mmoja nchini Brazil alifanyiwa upasuaji maalumu ili uso wake ushabihiane na uso wa mbwa. Kutokana na kuwa na mapenzi makubwa kwa mbwa na kwa kutaka kufanya kituko cha aina yake, aliamua kuachana na sura yake ya kibinadamu na kwenda kufanyaiwa upasuaji ili afanane na mbwa.
Jamaa huyo ndiye mtu wa kwanza kuwapenda mbwa kiasi cha kuamua kufanya kituko hicho. Angalia picha zake hapa:
![]() |
| Kabla ya kufanyiwa upasuaji |


0 comments:
Post a Comment