WAKAMATWA WAKIUZA WATOTO

Polisi mjini Cairo, Misri, wanasema wamegundua gengi la watu wanaouza watoto ambalo linafikiriwa kuwa limeuza watoto wachanga 300.

Wauguzi wawili na daktari wa zahanati moja mjini Cairo ni kati ya wale waliokamatwa, na polisi wanasema bado wanamsaka meneja wa zahanati hiyo.
Inadaiwa kuwa wafanyakazi hao wa matibabu wamepasuwa waja wazito wasiotaka kuzaa, na kuwatoa watoto wachanga ambao waliwauza kwa familia zisokuwa na watoto.
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment