MWENYEKITI WA VIJANA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR KHALID GWIJI ASEMA WENYE MAMLAKA YA KUMUONDOA MALIM SEIF MADARAKANI NI WAZANZIBAR WENYEWE

NA HAMED MAZROUY

  

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa kitaifa zanzibar Khalid gwiji asema kuwa mwenye mamlaka ya kumuondoa Maalim seif katika wadhifa wake wa makamo wa kwanza wa rais Zanzibar ni wananchi wenyewe nna sio Rais Shein kama wanavosema baafdhi ya watu wengine gwiji ameyasema hayo wakati alipokuwa akifanya mahojiano na radio mashuhuri nnchini Kenya radio rahma.
Amefahamisha kuwa hivi karibuni katika nchi nya Zanzibar kumekuwepo na hali ya sitofahamu kitu ambacho kimempelekea maalim seif kuwashutumu baadhi ya viongozi wenzake serikalini kuwa ni wahusika wakuu wa hali ya machafuko visiwani humo kutokana na kauli hio yaa maalim kuna baadhi ya watu wamesubutu kuwa Dr shein anaweza kumtoa serikalini lakini maalim seif amejibu kwa kusema hadharani kuwa hawezi kabisa na analoliweza yeye kuwatoa mawaziri wake tu na sikumtoa yeye.

Pia gwiji alisema kuwa inapaswa kwa kila mzanzibar kuangalie ni vipi Serikali ya Umoja wa Kitaifa ilikuja serikali hii iliopo imekuja kufuatia wananchi wa zanzibari waliowengi kupiga kura ile ya maoni tarehe 31 July, 2010.ilioamuwa uwepo wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar na ndio kura hii iliobadili mfumo mzima wa kisiasa zanzibar kwani iliweza kuzizika siasa za chuki na kuleta siasa za ushirikiano na kufanya kazi pamoja kwa shabaha ya kuwatumikia Wazanzibari wote. Na hata katiba ukisoma kifungu cha 9 (3) kinaeleza kuwa muundo wa serikali utakuwa ni wa umoja wa kitaifa kwa lengo la kuendeleza umojana mshikamano nchini.

Je Kusema hivyo ni maana yake nn? Maana yake ni kuwa Maalim Seif nae anaungwa mkono wa kundi kubwa la Wzanzibari na ndio waliosababisha yeyekuwa makamo wa kwanza wa rais,na ili kumuondoa nafasi yake ni wazanzibar wenyewe waliomchaguwa kwakura kupiga tena kura ya maoni nnyengine kuukataa kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa kitu ambacho sirahisi kuweza kutokea kwa sasa kwani hakuna yeyote yule ambae yupo tayari kuona tunarudi tulipotoka.

Pia amesema kuwa kuna baadhi ya wazanzibar wanasema kuwa Maalim Seif ataondolewa ,adarakani hao ni wahafidhina ambao wamekuiwa sawa na baadhi ya waganga wa kienyeji ambao ili waweze kupata muradi wao wanalazimika kuwagawa na kuwafitinisha wazanzibari. Seif bado ni hazina na hajawa liability na ni symbol katika
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment