MWANA WA RAIS AFUNGWA

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Francois Bozize, anaripotiwa kuchukua hatua isiyo ya kawaida ya kuamrisha mwanawe mwenyewe wa kiume afungwe, kwa sababu hakulipa bili kubwa ya hoteli.

Afisa wa polisi alisema mtoto huyo wa Rais Bozize, Kevin, anadaiwa zaidi ya dola 13,000 baada ya kukaa kwa siku kadha kwenye hoteli ya fahari katika mji mkuu, Bangui.
Kevin Bozize ni kepteni kwenye jeshi la nchi hiyo.

BBC.
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment