MUGABE MATATANI
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, yuko matatani baada ya kufichuka mipango ya serikali yake kuhamisha kuhamisha mji mkuu kutoka Harare kwenda katika wilaya yake ya nyumbani ya Zvimba. Inadaiwa kuwa uhamishaji huo utaondosha msongamano uliopo sasa katika mji mkuu wa Harare, wenye zaidi ya watu milioni 1.6. Hata hivyo, wakati maendo mengi ya mjini yanakabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi, Wazimbabwe wengi wanahoji mantiki iliyo nyuma ya mpango huo.

0 comments:
Post a Comment