NA HAMED MAZROUY
Wanafunzi mbali mbali wa vyuo vya habari nchini Tanzania pamoja wananchi wametakiwa kutoa maoni yao juu ya uwajibikaji wa vyomba mbali mbali vya habari nchini vikiwemo vya serikali na vya binafsi kufuatian hatua hio ya utowaji wa maoni kwa wanafunzi wa vyuo vya habari unaendelea ambapo imepelekea mwakilishi wa baraza la habari Tanzania (mct) Bwana John maliki kufika katika chuo cha uandishi wa habari kilichopo vuga mjini Zanzibar kutaka kujua maoni ya wanafunzi wa chuo hicho kupitia vyombo mbali mbali vya habari vilivyopo nchini,wakati akitoa nasaha zake mwakilishi huyo amewataka wanafunzi hao kujaza dodoso hizo kwa uhalisia tena bila kuogopa wala kukipendelea chombo chochote kil cha habari.
Kwa upande wao wanafunzi wa chuo hicho wameushukuru uwongozi wa baraza la habari nchini Tanzania (mct)kwa juhudi zao za kuweza kuthamini mchango wa wannafunzi hao na kumewawezesha kujua ni njinsi gain kuwa mwanahabari ni miongoni mwa watu muhimu katika jamii na limewafannya wanafunzi hao kujua kuwa baraza la habari linawathamini wanahabari ingawa wapo vyuoni na kujua nivipi baraza hilo litaweza kuwasaidia wanahari hao
Aidha mwalim wa chuo hicho Bi Nassra Nassor amewataka wanfunzi hao kuzidi kuongeza bidii zaidi katika masomo yao ili waweze kuwa waandishi bora kwa siku chache zijazo kwa ajili ya kuweza kuisaidia jamii kufikisha matatizo yao mbali mbali mbali sehemu husika

0 comments:
Post a Comment