MATOKEO YA UCHAGUZI WA CCM - DODOMA





NA HAMED MAZROUY

Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa nafasi za uwongozi ndani ya chama cha ccm mh ana makinda awatangaaza rasmi miongoni mwa viongozi walioshinda nafasi mbali mbali ndani ya chama hicho huko katika ukumbi wa kizota mkoani dodoma,amemtangaaza rasmi mrisho jakaya kikwete kuwa mwenyekiti wa ccm kwa muda wa miaka mitano ijayo kwa ushindi wa kuwa 2395 huku kukiwa hakuna kura hata mmoja ilioharibika na kura mbili ndio zimemkataa.

Pia msimamizi huyo ameweza kumtangaaza dr ali mohd shein kuwa makamo mwenyekiti nwa ccm kwa upande wa zanzibar kwa idadi kubwa ya ushindi wa kura 2397 na hakuna kura hata mmoja ilioharibika juu yake pia hakuna kura ilioyomkataa dr shein.

Aidha msimamizi huyo amemtangaaza bwana philip mangula kuwa makamo mwenyekiti wa ccm kwa upande wa tanzania bara kwa idadi ya kura 2397 bila ya kuwa na kura hata mmoja iliyomkataa.
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment