DR SHEIN: UIMARISHAJI WA HUDUMA NI NGUZO YA MAENDELEO

NA HAMED MAZURUI
 
Uimarishwaji wa sekta mbali mbali nchini kutasaidia kukuza na kuenneza utumishi wa umma na utawala bora hapa nchini kwetu. Hayo yameeelezwa na makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar wakati alipokuwa akizugumza kwa niaba ya Rasi wa zanzibae Dr Ali Mohamedd Shein katika mkutano wa kitaifa ambapo mkutano huo unashughulikia masuala ya utumishi wa umma na utawala bora kwa nchi za Afrika. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar beach resort mjini Unguja.

Wakati akihutubia katika mkutano huo Maalim seif amesema kuwa mkutano huo una lengo la kujadili na kubadilisham, utawala, uzowefu pamoja na ufanisi kutoka katika nchi mbali mbali duniani kwa lengo la kukuza uchumi na utowaji wa huduma kwa wananchi ambao washiriki wake wamepata nafasi ya kushiriki katika mkutano huo.

Akizungumza kwa niaba ya washiriki wa mkutano huo ambao umihudhuriwa na mataifa 32 kutoka sehemu mbali mbali duniani rais wa mkutanno huo wa (AAPAM) Bwana Abdom Agow amesema kuwa yeye binfsi pamoja na washiriki wote hawana budi kuishukuru sana serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa kukubali kwake kuwa mwenyeji wa mkuano huo mara hii jambo ambalo litasaidia kukuza na kueneza uchumi katika nchi mbali mbali za Africa,mkutano huo uatafanyika kwa jumla ya siku tano mfululizo huko katika hotel ya Zanzibar beach resort.
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment