NA HAMED MAZROUY
Habari za kuskitisha zilizotokea nchini Kenya nikuwa Baba mmoja ambaeameweza kufanya tendo la kikatili la kuwauwa watoto wake wanne wakuwazaa mwenyewe kwa kuwanyonga huko katika kijiji cha buti wilayani kisii nchini kenya na baada ya kutenda tendo hilo mzee huyo ameamuwa kutoroka na kwenda kusiko juulikana hadi muda huu
Kwa upande wao jeshi la polisi nchini humo limethibitisha kutokea kwa tendo hilo na limesema kwa sasa linaendelea na msako mkali wa kumsaka mzee alietenda kitendo hicho cha kinyama kwa watato wake na jeshi hilo pia limesema kuwa kwa sasa maiti za watoto hao zimehifadhiwa katika hospitali ya kisii level 5 na mpaka sasa bado haijajulikana ni sababu gani zilizopelekea kwa mzee huyo kutenda kosa hilo
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment