NA HAMED MAZROUY
Ajali mbaya ya gari yatokea na kujeruhi wawili ambao ni mama na mtoto wake maeneo ya darajani mjini unguja muda mchache kutoka sasa inasadikiwa kwamba gari hio ilikuwa ikitembea mwendo wa kasi na kugonga mmoja ya nguzo iliopo darajani karibu na stendi ya gari ziendazo shamba ndipo nguzo hio ilipoanguka na kuwaelemnea mama na mtoto wake ambao hawakuwemo kwenye gari hio na kuwasababishia majeraha kadhaa hadi muda huu mama huyo wapo katika hospitali kuu ya mnazi mmoja.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment