- NI HUKO NEW JERSEY, MAREKANI
Polisi mmoja aliliambia shirika la AP kwamba mauaji hayo yalitokea leo Ijumaa katika Supermarket ya Pathmark katika viunga vya Old Bridge. Wakati huo duka hilo lilikuwa limefungwa.
Wafanyakazi kadhaa walikuwa ndani wakatik mshambuliaji alipofanya shambulio hilo majira ya saa 10 kwa majira ya eneo hilo.
Baadhi ya mashahidi wanadai kuwa mshambuliaji alikuwa na silaha na aliwachukua watu kadhaa kama mateka.
MP/SS
0 comments:
Post a Comment