Rais Kikwete akutana na Wakuu wa Makampuni makubwa ya India.

Rais wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa katika mazungumzo na Wakuu wa Makampuni makubwa ya India. 
Aliwahimiza kuchangamkia fursa za uwekezaji nchini Tanzania. kushoto kwa Mhe. Rais ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Abdallah Kigoda (Mb) na kulia ni kiongozi wa Chama cha Wafanyabiashara nchini India. Mazungumzo hayo yakifanyika katika Hoteli ya Taj Palace jijini Delhi 

Wakuu wa Makampuni Makubwa ya India wakimsikiliza Rais Kikwete. Baadhi ya Makampuni hayo tayari yalishawekeza nchini Tanzania na Makampuni mengine yalionesha dhamira ya kuja kuwekeza.
Kiongozi wa Chama cha Wafanyabiashara wa India akimkabidhi, Mhe. Rais zawadi.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Abdallah Kigoda (Mb) kulia akizungumza jambo na mmoja wa Wakuu wa Makampuni ya India. Mwingine kushoto ni Waziri wa Maji, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (Mb).
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment